DIRA NA MWELEKEO
Breaking News
Advertise here
Find us on Google Plus
LOOP SLIDER
Ijumaa, 13 Februari 2015
Jumatatu, 9 Februari 2015
Alhamisi, 5 Februari 2015
Jumatatu, 2 Februari 2015
BONDIA FRANSIS CHEKA KWENDA JELA MIAKA 3
Kutoka mkoani morogoro,Bondia alijechukulia sifa kedekede na asie na mpinzani hapa nchini,Fransis Cheka amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu.
Aidha hukumu hiyo iliyotolewa leo mkoani morogoro,cheka amepatikana na hatia katika shtaka lililokuwa likimkabili la kumpiga meneja wake.Pamoja na hukumu hiyo cheka ametakiwa kulipa fidia ya shilingi milioni moja kwa ajili ya kufidia gharama za matibabu kwa mlalamikaji

Jumamosi, 31 Januari 2015
Jumanne, 27 Januari 2015
NEEMAN IILODGE YA KISASA
![]() | |||||||||||||||||
MUONEKANO WA NJE,HUDUMA ZETU
LOCATIONIpo barabara kuu ya kwenda Dar es salaam,kilometa mbili kutoka katikati ya mji wa dodomaMAWASILIANO:0262350248 -Namba ya ofisi0655644613-Mkurugenzi |
Jumamosi, 24 Januari 2015
FIMBO YA KALAMU!
Awali ya yote nianze kwa kukusalimu msomaji wa makala hii,natumai u buheri mwenye siha njema.
fimbo yangu leo inawaeleka watu wenye kufanya au kupanga na kuratibu mauaji ya wenzetu wenye ulemavu wa ngozi,kwa takriban miaka 10 sasa hili tatatizo limekuwa likishamiri katika jamii yetu,ni dhairi kuwa watendaji wa uovu huu ni ndugu,rafiki,au jamaa zetu,na kadhalika watendwa pia ni watu wa nasaba yetu pia,
je hawa hawana haki,au tunu ya uzima?,la hasha ni wenzetu wanamahitaji kama mimi na wewe,ni binadamu kamili wenye utashi,kwa nini tuwatese,kwa nini hatuwalindi,au ni ile dhana ya "utajiri",la hasha,hakuna utajiri wa namna hiyo,napata kigugumizi sana kusema sababu kubwa ni ushirikina,embu msomaj wangu nawe unisaidie katika jamii unayoishi tukio hili la mauaji ya albino linasababishwa na nini haswa?
Kumekuwa na radiamali tofauti toka mataifa ya ughaibuni,mashirika ya kimataifa na taasisi binafsi kukemea na kulaani matukio haya,Taifa limetiwa doa sana na kupoteza taswira ya dhana ya utu na kuonekana kuwa sasa si salama tena kwa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi,kila uchwao matukio yanazidi kuongezeka,mauaji,ujambazi.
Tafakari yangu inanipa hisia kali sana na kunifanya niseme ni ukosefu wa upendo na hofu ya Mungu.Ukiwa na upendo ni aghalabu kukiuka haki ya msingi na kumpokonya binadamu mwezio haki na tunu ya uzima toka kwa mwenyezi mungu.Nani alieenemeka kwa dhuluma akaishi milele katika dhuluma,mwisho wa ubaya ni aibu na fedheha,mbaya kabisa matukio mengine mzazi mmojawapo anashiriki katika kufanikisha uovu huu,nitoe rai kwako mzazi mwenye mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,ulemavu wa ngozi sio laana,au balaa ni tunu toka kwa mwenyez mungu kwani kunakusudio maalum ,hata kwa weledi wa biolojia imefafanuliwa,ni jambo linalohusu vinasaba,hivyo sio laana.
Rai yangu ni nini kifanyike,kwani tumekuwa na tabia ya kuokoa magoli yaliofungwa,mfano hadi sasa hakuna mikakati madhubuti ya kuwalinda ila tukio likitokea utasikia tutatoa zawadi ya milioni tatu kwa atakae toa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa waliohusika au mtendwa,duh!Kwa nini fedha hizo zisitumike kutambua familia zenye walemavu wa ngozi na kuboresha makazi yao,kujenga shule au kambi itakayowatunza wenzetu wenye ulemavu wa ngozi, huku kukiwa na ulinzi.
Swali wewe umechukua hatua gani katika kudhibiti hali hii,unadhani unaweza,au bado tuna dhana eti ni jukumu la polisi,lashasha ni jukumu langu na lako ,chukua hatua sasa.Pengine utajiuliza nichukue hatua gani?ni swala mtambuka,jiulize mtaani kwangu yupo mlemavu wa ngozi,mazingira haya ni salama,pia mzazi wa mlemavu anamtizamo gani?
ni mengi sana ya kujiuliza na kisha kuchukua hatua,hata mashuleni ni vyema kukawa na mikakati madhubuti ya kuratibu mienendo na ratiba za wenye ulemavu wa ngozi mfano je akitoka shuleni anapita wapi,njia apitayo ni salama,au akiwa anaenda shuleni ni vitisho vipi vinamkabili.Naamini kuna matukio mengi ya ukatili wanayotendewa wenzetu ila hayaripotiwi katika vyombo vya dola,natoa wito kwa walimu wakiona kuna mwanafunzi mwenye ulemavu wa ngozi hajafika shuleni wafuatilie ili kujua nini kimemsibu na kutoa taarifa kwa mamlaka husika
Naomba kwa leo nifikie tamati kwa hapa.Ila naomba nikuache na swali.
Je nini kifanyike kutokomeza mauaji wa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi?

Ijumaa, 23 Januari 2015
from bible
"An excellent wife is the crown of her husband,but who cause shame is like rottenness in his bones"
Alhamisi, 22 Januari 2015
quote from holly book
Whoever loves instruction loves,knowledge,but who he hates correction is stupid
jins ya kujizuia kutokufanya kitu ambacho kinamihemko/hisia(proactive)
- zuia shauku na mihemko ya ghafla
- chagua njia sahihi ya kuzuia hisia zako zisiweze kuathir tabia yako,mfano ukiona unamatamanio ya kitu au mtu jitahid kukaambali nacho au kukikwepa,ainisha madhara yake kisha yatilie maanani
rudisha nafsi yako nyuma,tafakar kabla ya kusema au kufanya jambo litakalo kuumiza wewe na wengine.izuie nafsi yako isipambane na mtu au jambo moja kwa moja bila kujitathmin
Epukashinikizo la marafiki
epuka kutumia maneno ya hamasa mbaya,uchochez unaotoka kwa marafiki kikusukuma kutenda jambo la hatar au lenye kuleta madhara
Zuia maneno na matendo yako
Usiseme moja kwa moja kile ambacho kinakujia ghafla kichwan kwako kwan kinaweza kuamsha hisia na mihemko,usifanye kwa haraka jambo ambalo unataka kulifanya ikiwa unauhakika nalo kama ni jema au baya,pia kuwa makin na kile unachotaka kukisema na kukifanya
Jumatano, 21 Januari 2015
DIRA YA LEO
Nianze kwa kumshuru Mungu kwa uzima,
Dira yangu inanipa ulekeo wa Tanzania ya leo,ya ujamaa wa kisayansi,ujamaa uliovunja azimio la arusha,ujamaa ambao unawanufiaisha wahubir wa ujamaa huku waumin tukibak katika kadhia ya umaskin,njaa,na kukosa mwelekeo.

hiv ujamaa ndio umetupa mwelekeo huu wa watu kukosa matumaini,iko wapi ile kauli ya ujamaa ni imani,ashakum si matusi au ule wimbo uliopamba masikio yetu zaman wa "chama chetu cha ....... chajenga nchi"?nan anaweza simama mbele ya wananzuon na wasiowananzuon,maamuma na kuimba wimbo huu bila ya kuwa na aibu au shaka.
kuna riwaya nyingi sana zenye maudhui na fikra oevu ambazo kwayo zimekuwa zikitolewa na wanasiasa wakat wa kampeni.hiz huwafanya wananchi kujiona nao ni watu wenye thamani,
SWALI "embu jiulize je naonekana mtu wa thaman muda wote au wakat wa uchaguz"
2:kiongoz nimtakaye anaweza timiza au kuleta dira yenye mwelekeo chanya?
3:Kiongoz anaaminika kwa yap,kutoa ahad na kuzitekeleza wakat wa kampen ukikaribia au punde tu baada ya uchaguz?
4:iko wap fursa yangu ya kuchangia maendeleo na kutoa maamuz,je nimeshirikishwa ipasavyo?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)