Nianze kwa kumshuru Mungu kwa uzima,
Dira yangu inanipa ulekeo wa Tanzania ya leo,ya ujamaa wa kisayansi,ujamaa uliovunja azimio la arusha,ujamaa ambao unawanufiaisha wahubir wa ujamaa huku waumin tukibak katika kadhia ya umaskin,njaa,na kukosa mwelekeo.

hiv ujamaa ndio umetupa mwelekeo huu wa watu kukosa matumaini,iko wapi ile kauli ya ujamaa ni imani,ashakum si matusi au ule wimbo uliopamba masikio yetu zaman wa "chama chetu cha ....... chajenga nchi"?nan anaweza simama mbele ya wananzuon na wasiowananzuon,maamuma na kuimba wimbo huu bila ya kuwa na aibu au shaka.
kuna riwaya nyingi sana zenye maudhui na fikra oevu ambazo kwayo zimekuwa zikitolewa na wanasiasa wakat wa kampeni.hiz huwafanya wananchi kujiona nao ni watu wenye thamani,
SWALI "embu jiulize je naonekana mtu wa thaman muda wote au wakat wa uchaguz"
2:kiongoz nimtakaye anaweza timiza au kuleta dira yenye mwelekeo chanya?
3:Kiongoz anaaminika kwa yap,kutoa ahad na kuzitekeleza wakat wa kampen ukikaribia au punde tu baada ya uchaguz?
4:iko wap fursa yangu ya kuchangia maendeleo na kutoa maamuz,je nimeshirikishwa ipasavyo?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni