Breaking News

Advertise here

Find us on Google Plus

LOOP SLIDER

Alhamisi, 22 Januari 2015

jins ya kujizuia kutokufanya kitu ambacho kinamihemko/hisia(proactive)

  1. zuia shauku na mihemko ya ghafla
  • chagua njia sahihi ya kuzuia hisia zako zisiweze kuathir tabia yako,mfano ukiona unamatamanio ya kitu au mtu jitahid kukaambali nacho au kukikwepa,ainisha madhara yake kisha yatilie maanani 
Rudisha nafsi yako nyuma na kutafakari
rudisha nafsi yako nyuma,tafakar kabla ya kusema au kufanya jambo litakalo kuumiza wewe na wengine.izuie nafsi yako isipambane na mtu au jambo moja kwa moja bila kujitathmin

Epukashinikizo la marafiki
epuka kutumia maneno ya hamasa mbaya,uchochez unaotoka kwa marafiki kikusukuma kutenda jambo la hatar au lenye kuleta madhara

Zuia maneno na matendo yako
Usiseme moja kwa moja kile ambacho kinakujia ghafla kichwan kwako kwan kinaweza kuamsha hisia na mihemko,usifanye kwa haraka jambo ambalo unataka kulifanya ikiwa unauhakika nalo kama ni jema au baya,pia kuwa makin na kile unachotaka kukisema na kukifanya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

maoni/ujumbe

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Designed By Published.. Blogger Templates